Not for
Reproduction
6
BRIGGSandSTRATTON.COM
Hatua ya 2: Oili na Mafuta
Mapendekezo ya Oili
Kielelezo
2
Tunapendekeza matumizi ya oili Zilizoidhinishwa na
Hakikisho la Briggs & Stratton ili kupata utendakazi bora. Oili
nyingine za usafishaji zinakubalika ikiwa zimebainishwa kwa
huduma ya SF au ya juu zaidi. Usitumie vitegemezi maalum.
Hali joto ya nje inaamua mnato sahihi wa oili kwa injini.
Tumia chati kuchagua mnato bora zaidi kwa hali joto ya
nje inayotarajiwa.
* Chini ya 4°C (40°F) matumizi ya SAE 30 yatasababisha
ugumu wa kuwasha.
** Zaidi ya 27°C (80°F) matumizi ya 10W30 huenda
yakasababisha matumizi zaidi ya oili. Kagua kiwango cha oili
mara nyingi zaidi.
Kukagua/Kuongeza Oili ya Injinil
Kielelezo
3
4
Kiwango cha oili kinafaa kukaguliwa kabla ya kila
matumizi au angalau kila baada ya saa 8 za uendeshaji.
Dumisha kiwango cha oili.
1. Hakikisha jenereta iko kwenye eneo tambarare.
2. Zungusha kidude na ufunue kifuniko (
3
) kilicho juu
ya eneo la kujazia oili.
3. Safisha eneo linalozingira tundu la kujazia oili na
uondoe kifuniko cha tundu la kujazia oili (
3, A
).
4. Thibitisha oili iko katika hali ya kufurika kwenye
mdomo wa tundu la kujazia oili.
5. Ikiwa inahitajika, ukitumia faneli, weka oili polepole
(
4
) ndani ya tundu la kujazia oili hadi ifikie kiwango
cha kufurika cha tundu la kujazia oili.
ILANI
Acha ili kuruhusu oili kutulia. USIJAZE kupita kiasi.
6. Funika na ukaze kifuniko cha tundu la kujazia oil.
7. Rejesha kifuniko kilicho juu ya eneo la kujazia oili.
ILANI
Usijaribu kuwasha au kuanzisha injini
kabla haijafanyiwa huduma vizuri kwa kutumia oili
inayopendekezwa. Hii inaweza kusababisha injini kuharibika.
Kiashiria Oili Chache
Kielelezo
6
Mfumo wa kiashiria oili chache umeundwa ili kuzuia
uharibifu wa injini unaosababishwa na oili isiyotosha ya
injini. Iwapo kiwango cha oili kimepungua hadi chini ya
kiwango kilichowekwa, taa ya manjano ya kiashiria oili
chache (
C
) itawaka na swichi ya kiwango cha oili itazima
injini. Iwapo injini itazima au taa ya manjano ya kiashiria
oili chache itawaka unapovuta mpini-nywea, kagua
kiwango cha oili ya injini.
Ongeza Mafuta Kielelezo
1
5
Mafuta ni lazima yatimize mahitaji haya:
• Petroli safi, freshi, isiyo na risasi (unleaded) na iliyo
na angalau RON 91 (okteni 87/87 AKI).
• Petroli iliyo na hadi ethanoli 10% inakubalika.
ILANI
Usichanganye oili kwenye petroli au kurekebisha
injini ili itumie mafuta mbadala. Usitumie petroli ambayo
haijaidhinishwa kama vile E15 na E85. Utumizi wa
mafuta ambayo hayajaidhinishwa kunaweza kusababisha
uharibifu kwenye jenereta na kubatilisha hakikisho.
Tazama
Mwinuko wa Juu
kwa mita 1,524 na zaidi.
ONYO!
Mafuta na mivuke yake
yanaweza kuwaka moto na
kusababisha kuchomeka au
moto na kupelekea kifo au majeraha mabaya.
• Usiongeze mafuta wala kusongeza wakati inatumika.
• Zima injini na uwache injini ipoe kwa angalau dakika 2
kabla ya kuondoa kifuniko cha mafuta.
• Jaza tangi la mafuta ukiwa nje ya nyumba. Usimwage
mafuta nje ya tangi.
• Weka mafuta mbali na cheche, moto ulio wazi, taa za
gesi, joto, na vyanzo vingine vya mwako.
• Kagua mifereji ya mafuta, tangi, kifuniko, na vijenzi
mara kwa mara kama kuna nyufa au uvujaji. Badilisha
kama itahitajika.
• Usiwashe sigara wala usivute sigara.
• Usimwagilie jenereta maji ili kuzima moto.
• Tumia tu kizima moto kilichotengenezwa kuzima moto
wa mafuta na mifumo ya mifumo ya kiumeme kama vile
kizima moto cha poda. Fuata maagizo yaliyotolewa na
mtengenezaji wa kizima moto kabla ya matumizi.
• Jenereta hii haipaswi kutumiwa katika mazingira
yanayoweza kushika moto kwa urahisi.
1. Ondoa polepole kifuniko cha mafuta (
1, A
) ili
kupunguza shinikizo ndani ya tangi.
2. Polepole ongeza mafuta yasiyo na risasi (unleaded)
kufikia kiashiria cha kiwango cha mafuta (
5, A
)
katika tangi wa mafuta. Kuwa mwangalifu usijaze
hadi juu ya kiashiria. Hii inawacha nafasi ya kutosha
kwa ajili ya upanuzi wa mafuta.
3. Rudisha kifuniko cha tangi la mafuta na uruhusu
mafuta yoyote yaliyomwagika kuyeyuka kabla ya
kuwasha injini.
Mwinuko wa Juu
Katika mwinuko zaidi ya mita 1524, kiwango cha
chini zaidi cha RON 89 (okteni 85/85 AKI) cha mafuta
kinakubalika. Ili kudumisha uambatanaji na sera ya
mafukizo, marekebisho ya mwinuko wa juu yanahitajika.
Uendeshaji bila marekebisho haya unaweza kusababisha
kupunguka kwa utendakazi, matumizi ya mafuta
kuongezeka, na mafukizo kuongezeka.
Mtembelee muuzaji wa Briggs & Stratton Aliyeidhibishwa
ili kupata maelezo kuhusu marekebisho ya mwinuko wa
juu. Uendeshaji injini katika mwinuko wa chini ya mita 762
na marekebisho ya mwinuko wa juu hayapendekezwi.
Kusafirisha
Unaposafirisha kifaa, zungusha kidude cha kugurumisha
hadi eneo linaloonyesha zima. Usiinamishe injini au kifaa
katika mkao unaosababisha mafuta kumwagika.
Hatua ya 3: Kuanzisha Jenereta Kielelezo
1
Ondoa vyombo vyote vya umeme vilivyounganishwa na
jenereta. Tumia maagizo yafuatayo ya kuwasha:
1. Hakikisha kifaa kiko nje kwenye eneo tambarare.
ILANI
Kukosa kutumia kifaa hiki kwenye eneo
tambarare kunaweza kusababisha kifaa kuzima.
2. Zungusha kidude cha kugurumisha (
K
) hadi eneo
linaloonyesha kuwasha baridi (cold start).
ILANI
Kwa injini moto, zungusha kidude cha kugurumisha
hadi eneo linaloonyesha endesha (run).
3. Kamata mpini-nywea (
L
) na uvute polepole mpaka
uhisi ugumu kidogo. Kisha vuta kwa haraka ili
kuwasha injini.
4. Zungusha kidude cha kugurumisha polepole hadi
eneo linaloonyesha endesha (run). Injini ikiwa na
kasoro, zungusha kidude cha kuwasha mzunguko
nusu kati ya eneo linaloonyesha kuwasha baridi (cold
start) na endesha (run) mpaka ijini igurume kwa ulaini,
na kisha hadi eneo linaloonyesha endesha (run).
ILANI
Injini ikiwasha lakini ikose kunguruma, tazama
Kiashiria Oili Chache
.
Summary of Contents for PowerSmart P2400
Page 3: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 3 2 9 10 4 3 A A 5 A 7 C A B 8 6 A B C...
Page 12: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 21: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 10 30 1 1 2 3 30 4 K 0 5...
Page 23: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12...
Page 32: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 42: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 52: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 62: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 72: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 82: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 92: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 102: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 112: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 122: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 132: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 142: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 152: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 162: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 172: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 182: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 192: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 202: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 212: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 222: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 232: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 242: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 252: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 262: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...