Not for
Reproduction
9
Udumishaji Injini
Kubadilisha Oili ya Injini Mchoro Kielelezo
3
4
TAHADHARI
Epuka oili ya mota iliyotumika
kugusana na ngozi kwa muda mrefu au mara
nyingi. Oili ya mota iliyotumika imeonekana
kusababisha saratani ya ngozi katika maabara fulani za
wanyama. Safisha kwa kina maeneo yaliyoathirika
ukitumia sabuni na maji.
WEKA MBALI WA WATOTO. USICHAFUE.
TUMIA RASILIMALI VIZURI. REJESHA OILI
ILIYOTUMIKA KWENYE VITUO VYA
KUKUSANYA.
Badilisha oili wakati injini bado ina joto baada ya
kuendeshwa, kama ifuatavyo:
1. Hakikisha kifaa kiko kwenye eneo tambarare.
2. Maliza mafuta kwenye tangi la mafuta kwa
kuendesha jenereta mpaka tangiu liwe tupu.
3. Ondoa kifuniko (
3
) kwenye eneo la kujazia oili.
4. Safisha eneo linalozingira tundu la kujazia oili na
uondoe kifuniko cha tundu la kujazia oili.
5. Inamisha jenereta yako ili umwage oili kutoka
kwenye tundu la kujazia oili hadi kwenye kontena
mwafaka na uhakikishe unainamisha kifaa chako
kuelekea upande wenye shindo la tundu la kujazia
oili. Wakati kasha la shati kombi ni tupu, simamisha
jenereta ikae wima.
6. Ukitumia faneli ya oili, polepole weka oili
iliyopendekezwa (takriban lita 0.4 (aunzi 13.5)) ndani
ya tundu la kujazia oili (
4
). Kukagua kiwango cha oili
mara nyingi, jaza hadi kiwangocha kufurika.
ILANI
Acha ili kuruhusu oili kutulia. USIJAZE kupita
kiasi.
7. Funika na ukaze kifuniko cha tundu la kujazia oil.
8. Pangusa oili yoyote iliyomwagika.
9. Rejesha kifuniko kilicho juu ya eneo la kujazia oili.
Hudumia Kisafishaji Hewa Kielelezo
7
8
ONYO!
Mafuta na mivuke yake yanaweza
kuwaka moto na kusababisha kuchomeka au
moto na kupelekea kifo au majeraha mabaya.
• Usianzishe na kuendesha injini chujio la hewa likiwa
limeondolewa.
Injini yako haitafanya kazi ipasavyo na inaweza kuharibika
iwapo utaiendesha ukitumia kisafishaji hewa kichafu.
Fanya huduma mara nyingi zaidi ikiwa unaendeshea
katika hali chafu au zenye vumbi.
Ili kusafisha kisafishaji hewa, fuata hatua hizi:
1. Ondoa kifuniko kwenye eneo la kujazia oili.
2. Ingiza bisibisi kwenye mashimo (
7, A
) na utoe
kifuniko nje na ukiinua ili kuondoa.
3. Legeza skrubu ya kifuniko cha kisafishaji hewa (
8,
A
) na uondoe kifuniko cha kisafishaji hewa (
8, B
).
4. Kwa uangalifu ondoa kisafishaji hewa cha pofu (
8,
C
) kutoka sehemu ya chini.
5. Safisha kisafishaji hewa cha pofu ukitumia sabuni ya
maji na maji pekee. Miminya kabisa kwa kitambaa
safi hadi kikauke.
6. Rejesha kisafishaji hewa cha pofu ndani ya sehemu
ya chini.
7. Rejesha kifuniko cha kisafishaji hewa na ukaze
skrubu.
8. Rejesha kifuniko kwa kulinganisha sehemu kwenye
mipira na usukume mpaka ziingiane vizuri.
9. Rejesha kifuniko kilicho juu ya eneo la kujazia oili.
Hudumia Plagi ya Spaki Kielelezo
9
10
Kubadilisha plagi ya spaki kutaiwezesha injini yako
kuwasha kwa urahisi na kunguruma vyema zaidi.
1. Sukuma ndani juu ya kichupo kwa bisibisi na
uondoe kifuniko cha juu cha ukarabati.
2. Safisha sehemu iliyo na kiziba cheche na kutoa
kifuko cha kiziba cheche (
9
).
3. Ondoa plagi ya spaki na uikague.
4. Badilisha spaki ya plagi ikiwa elektrodi zimegubikwa,
zimeungua au kaulo imevunjika. Tumia plagi ya spaki
ya kubadilisha inayopendekezwa pekee. Tazama
Sehemu za Udumishaji za Kawaida
.
5. Kagua pengo la elektrodi ukitumia geji (
10
) na
usawazishe pengo la plagi ya spaki hadi kiwango
kilichopendekezwa cha pengo ikiwa inahitajika
(tazama
Maelezo
).
6. Weka plagi ya spaki na ukaze kabisa. Rejesha kifuko
cha plagi ya spaki.
7. Rejesha kifuniko cha juu cha ukarabati.
Kagua Kishika Cheche
Kagua kishika cheche kama kuna uharibifu au mzibo wa
kaboni. Iwapo kuna uharibifu au usafishaji unahitajika,
mtembelee Muuzaji Huduma Aliyeidhinishwa wa Briggs &
Stratton.
ONYO!
Kugusana na eneo hili la mafla
kunaweza kusababisha kuchomeka na
hivyo basi kupelekea majeraha mabaya.
• Kuwa makini na maonyo yaliyo kwenye jenereta.
• Usiguse sehemu moto.
Summary of Contents for PowerSmart P2400
Page 3: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 3 2 9 10 4 3 A A 5 A 7 C A B 8 6 A B C...
Page 12: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 21: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 10 30 1 1 2 3 30 4 K 0 5...
Page 23: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12...
Page 32: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 42: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 52: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 62: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 72: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 82: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 92: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 102: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 112: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 122: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 132: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 142: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 152: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 162: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 172: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 182: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 192: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 202: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 212: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 222: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 232: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 242: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 252: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 262: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...