Not for
Reproduction
11
Kutatua Matatizo
Tatizo
Sababu
Suluhu
Injini inanguruma, lakini
hakuna umeme wa AC
unatolewa.
1. Swichi moja ya kukata umeme iko
wazi.
2. Kuna muunganisho mbaya au kuna
nyaya zenye kasoro.
3. Kifaa kilichounganishwa kina kasoro.
4. Taa Nyekundu iko imara. Jenereta
imewekewa uzito kupita kiasi au ina
joto kupita kiasi.
1. Anzisha upya swichi ya kukata umeme.
2. Kagua na ukarabati.
3. Unganisha kifaa kingine ambacho
hakina kasoro.
4. Tazama
Uwezo wa
Jenereta
. Bofya
kitufe cha UWEKAJI UPYA MKUU
kwenye paneli ya vidhibiti.
Injini inafanya kazi vizuri
ikiwa bila kazi lakini
“inalemaa” vitumizi
vinapounganishwa.
1. Jenereta imewekewa uzito kupita kiasi. 1. Tazama
Uwezo wa Jenereta
.
Injini haiwaki, inawaka
na kunguruma vibaya na
kuzima inaponguruma.
1. Kidude cha kugurumisha katika eneo
linaloonyesha zima.
2. Taa ya kiashiria oili chache imewaka.
Kiwango cha oili kiko chini.
3. Kisafishaji hewa ni kichafu.
4. Mafuta yameisha.
5. Waya ya plagi ya spaki
haijaunganishwa na plagi ya spaki.
6. Mafuta yamefurika.
1. Zungusha kidude cha kugurumisha hadi
eneo linaloonyesha endesha (run).
2. Jaza kasha la shafti kwa kiwango
sahihi au uweke jenereta kwenye eneo
tambarare.
3. Safisha ama ubadilishe kisafisha hewa.
4. Jaza tangi la mafuta.
5. Unganisha waya na plagi ya spaki.
6. Subiri dakika 5 na ujaribu kuwasha
injini tena.
Injini inazima na taa ya
Kilindaji CO inamweka
mwangaza mwekundu
(•• ••).
1. Jenereta haijawekwa mahali pazuri.
1. Hamisha jenereta hadi mahali wazi
na nje. Fungulia hewa (k.m. fungua
madirisha na milango) kabla ya watu
au wanyama kuingia. Tazama
Mfumo
wa Kuzima Kaboni Monoksidi (CO).
Kwa masuala mengine yote, mtembelee muuzaji aliyeidhinishwa wa Briggs & Stratton.
* Nishati ya kiumeme ya wakati huo huo ambayo jenereta inaweza kutoa ili kuwasha injini za umeme, kwa kila Briggs & Stratton
628K. Haiwakilishi nishati inayohitajika kuendesha vipenge vya kiumeme bila kusita. Ndio nishati nyingi zaidi inayoweza
kusambazwa wakati huo huo unapowasha mota, ikirudufishwa kwa volteji iliyodhibitiwa ya jenereta.
** Jenereta ikilingana na ISO 8528-13:2016, injini inayoendeshwa kwa umeme wa AC- Sehemu 13: Usalama.
Vipimo Maalum
Wati Zilizopimwa* . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 1,800
Wati za Kuanzisha** . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 2,400
Umeme wa AC wa Volti 230 . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Amps 7.8
Umeme wa DC wa Volti 12 . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Amps 5.0
Umeme wa DC wa Volti 5 . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Amps 2.1
Marudio . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 50 Hz
Msururu . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .Msururu Mmoja
Unyonyaji mafuta . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . cc 79.7 (cu. in. 4.86)
Pengo la Kiziba Cheche . . . . . . . . . . . milimita 0.6-0.7 (inchi 0.024-0.028)
Kiwango cha Mafuta . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Lita 4.0 (Galoni 1.0 U.S.)
Kiwango cha Oili . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . lita 0.4 (aunzi 13.5)
Sehemu za Udumishaji za Kawaida
Chujio la Hewa . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 84003886
Plagi ya Spaki . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 84003884
Chupa ya Oili ya Injini. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 100028
Chupa ya Oili ya Synthetic . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 100074
Kwa orodha kamili ya sehemu na michoro, tafadhali tembelea
BRIGGSandSTRATTON.COM.
Summary of Contents for PowerSmart P2400
Page 3: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 3 2 9 10 4 3 A A 5 A 7 C A B 8 6 A B C...
Page 12: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 21: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 10 30 1 1 2 3 30 4 K 0 5...
Page 23: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12...
Page 32: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 42: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 52: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 62: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 72: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 82: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 92: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 102: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 112: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 122: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 132: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 142: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 152: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 162: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 172: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 182: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 192: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 202: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 212: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 222: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 232: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 242: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 252: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...
Page 262: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 12 BRIGGSandSTRATTON COM...