Not for
Reproduction
15
sw
Vipengele na Vidhibiti
Linganisha
Mfano 1
na jedwali hapa chini.
KUMBUKA: Mifano na picha katika mwongozo huu zimetolewa
kwa marejeleo tu na huenda zikatofautiana na modeli yako
mahsusi. Wasiliana na muuzaji wako ikiwa una maswali.
Uendeshaji
Kabla ya Kuwasha
Fanya ukaguzi ufuatao na ufanye ukarabati unaofaa kabla ya
kuwasha kila wakati:
1. Kagua hewa ya tairi; ongeza au ondoa hewa kama
inavyohitajika ili kuweka hewa kuwa 15 PSI mbele na 12 PSI
nyuma.
2. Kagua ngao, diflekta na vifuniko uhakikisha vyote
vimewekwa na kukazwa vizuri.
3. Angalia oili ya injini na uongeze inavyohitajika. Rejelea "Jinsi
ya Kuangalia/Kuongeza Oili".
4. Rekebisha kiti inavyohitajika kwa mkao mzuri zaidi. Rejelea
"Usogezaji wa Kiti cha Mwendeshaji".
5. Kagua kidhibiti cha bapa ili uhakikishe kinafanya kazi vizuri.
Ikiwa pedali za bapa zimekanyagwa, Wenzo wa bapa
unaweza kusogezwa kwa mkono kutoka "WASHA" hadi
"ZIMA" ili usimamishe bapa.
6. Kagua Mtambo wa Kuzuia Kurudi Nyuma Pedali za bapa
zikiwa zimekanyagwa, wenzo wa kubadilisha gia haupswi
kurudi nyuma.
7. Safisha kumbi, nyasi, mafuta yoyote yaliyokusanyika n.k.
kutoka kwa maeneo ya nje ya deki ya kukata na injini. Weka
skrini ya kuingiza hewa katika injini na pezi za kutuliza zikiwa
safi kila wakati.
8. Ongeza mafuta kwenye tangi. Rejelea "Jinsi ya Kuongeza
Mafuta".
Mapendekezo ya Oili
Tunapendekeza utumie Mafuta Yaliyothibitishwa yenye Waranti
ya Briggs & Stratton kwa utendaji bora. Mafuta mengine ya hali ya
juu ya sabuni yanakubaliwa ikiwa yameainishwa kwa huduma SF,
SG, SH, SJ au zaidi. Usitumie viongezi spesheli.
Marejeleo
Maelezo
Ikoni
Ufafanuzi wa
Ikoni
A
Kiti cha
Mwendeshaji
--
--
B
Tangi la Mafuta
--
--
C
Dhibiti Kasi ya
Injini - hudhibiti
kasi ya injini
Choki
imewashwa
(imefungwa)
Mwendo wa injini
wa kasi
Mwendo wa injini
wa pole pole
D
Wenzo wa
Kusawazisha
Urefu wa
Kukata Nyasi
(imefichwa kwenye
mwonekano)-
husawazisha urefu
wa kukata nyasi.
Urefu wa kukata
E
Swichi ya
Kuwasha
(imefichwa kwenye
mwonekano) -
huanzisha injini
Injini imezimwa
Injini imewashwa
(inaguruma)
Kuwasha injini
F
Pedali ya Klachi/
Breki - huwezesha
klachi na breki
Klachi imewekwa
Breki zimewekwa
(zimewezeshwa)
G
Lachi ya Breki
ya Kuegesha -
hufunga breki
Breki ya
kuegesha
imewezeshwa
(imewezeshwa)
H
Pedali ya Ubapa
- hufunga Wenzo
wa bapa za
mashine ya kukata
nyasi katika mkao
wa tumia
--
--
I
Kifuniko cha
Matandazo
--
--
Marejeleo
Maelezo
Ikoni
Ufafanuzi wa
Ikoni
J
Wenzo wa Ubapa -
huwezesha ubapa
wa mashine ya
kukatia nyasi
Ubapa
umewashwa
(umewezeshwa)
Ubapa umezimwa
(umelemazwa)
K
Usukani - hudhibiti
mwelekeo wa kifaa
--
--
L
Wenzo wa
Kubadilisha Gia -
huchagua kasi ya
gia na mwelekeo
Kasi ya kuenda
mbele
Gia huru (hakuna
kasi ya kuenda)
Kasi ya kurudi
nyuma
M
Wenzo wa
Kubatilisha
Kuzuia Kurudi
Nyuma (imefichwa
isionekane) -
huruhusu ubapa
wa mashine ya
kukata nyasi
kufanya kazi na gia
ya kurudi nyuma
kwa muda
--
--
Summary of Contents for 2691382-00
Page 3: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 3 B A 4 A 5 A 6 A B 7 A 8 A B 9 A 10 A B 11 ...
Page 4: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n www snapper com 4 A B 12 A 13 B A 14 A B 15 A B 16 A 17 ...
Page 51: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 es ...
Page 73: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 fr ...
Page 95: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 pt ...
Page 117: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 sw ...
Page 121: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 3 B A 4 A 5 A 6 A B 7 A 8 A B 9 A 10 A B 11 ...
Page 122: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n www snapper com 4 A B 12 A 13 B A 14 A B 15 A B 16 A 17 ...
Page 126: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n A B 41 C A B 42 A D C B 38 A B 39 A B 40 ...