Not for
Reproduction
25
sw
Betri
Kuondoa Betri
1. Kwa makini ondoa kila upande wa kifuniko cha betri
(A,
Picha ya 40)
mbali na vishikizo
(B)
na uondoe kifuniko.
2. Ondoa maunzi
(A, Picha ya 41)
ukishikilia mabano ya
kufunga betri
(B)
, na uondoe mabano.
3. Tenganisha kebo NYEUSI (Hasi)
(C, Picha ya 42)
kutoka kwa tamino hasi ya betri. Bakisha maunzi ya
kufungilia.
ONYO
Daima tenganisha kebo NYEUSI hasi (-) kwanza.
!
!
4. Tenganisha kebo NYEUSI (Hasi)
(A, Picha ya 42)
kutoka kwa tamino hasi ya betri. Bakisha maunzi ya
kufungilia.
5. Ondoa betri kwenye sehemu ya betri.
Kuweka Betri
1. Telezesha betri kwenye sehemu ya betri.
2. Unganisha kebo NYEKUNDU chanya (+)
(A, Picha ya
42)
, kwenye tamino chanya (+) kwenye betri lililo na
zana zilizoondolewa.
ONYO
Daima unganisha kebo NYEKUNDU hasi (-) kwanza.
!
!
3. Unganisha kebo NYEUSI hasi (-)
(
C, Picha ya 42)
kwenye tamino hasi (-) kwenye betri lililo na maunzi
yaliyoondolewa.
4. Paka kiasi kidogo cha grisi juu ya temino ili kuzuia
ulikaji.
5. Funga tena kifuniko cha temino chanya (
B, Picha ya
42
, juu ya temino chanya.
6. Funga tena mabano ya kushikilia betri
(B, Picha ya 41)
,
na kulinda na maunzi yaliyoondolewa
(A)
.
7. Funga tena kifuniko cha betri
(A, Picha ya 40)
.
ONYO
Kinga tamoni chanya na kifuniko cha tamino chanya wakati
wote.
!
!
Summary of Contents for 2691382-00
Page 3: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 3 B A 4 A 5 A 6 A B 7 A 8 A B 9 A 10 A B 11 ...
Page 4: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n www snapper com 4 A B 12 A 13 B A 14 A B 15 A B 16 A 17 ...
Page 51: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 es ...
Page 73: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 fr ...
Page 95: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 pt ...
Page 117: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 sw ...
Page 121: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 3 B A 4 A 5 A 6 A B 7 A 8 A B 9 A 10 A B 11 ...
Page 122: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n www snapper com 4 A B 12 A 13 B A 14 A B 15 A B 16 A 17 ...
Page 126: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n A B 41 C A B 42 A D C B 38 A B 39 A B 40 ...