7
sw
Chaguo ya Kukata Nyasi Ukirudi Nyuma
(RMO)
Hii huruhusu mwendeshaji kukata nyasi (au
kutumia sehemu zingine zinazoendeshwa
na PTO) unapendesha nyuma. Ili kuwasha,
zungusha kifunguo cha RMO baada ya
kuewak PTO.Taa ya L.E.D. itaangaza, na kisha
mwendeshaji anaweza kukata nyasi akirudi
nyuma. Kila wakati PTO imewekwa, RMO
inahitaji kuwashwa upya ikiwa unataka.
Switchi ya Kuwashia
Swichi ya kuwasha huwasha na kuzima injini, ina
pande tatu:
ZIMA:
Huzima injini na kuzima mfuko wa
kielektroniki.
ENDESHA:
Huruhusu injini kuguruma na
kuwasha mfumo wa kielektroniki.
WASHA:
Huzungusha injini ili iwake.
Udhibiti wa Mmiminiko wa Mvuke wa Mafuta/
Choki (Chokamatiki)
Udhibiti wa mmiminiko wa mvuke wa mafuta/
choki hudhibiti kasi na choki ya injini. Sogeza
udhibiti wa mmiminiko wa mvuke wa mafuta/
choki kwenye upande wa HARAKA ili uongeze
kasi ya injini na upande wa POLEPOLE ili
upunguze kasi ya injini. Kuwa ukiendesha
kwa mmiminiko kamili wa mvuke wa mafuta.
Sogeza udhibiti wa mmiminiko wa mvuke wa
mafuta/choki kwenye upande wa CHOKI wakati
unawasha injini baridi. Injini ya motomoto
inaweza isihitaji kuzuia.
Wenzo wa Kutoa Gia
Hii hutoa gia ili trekta iweze kusukumwa kwa
mikono.
Mita ya Saa (ikiwa kunayo)
Mita ya saa hupima idadi ya saa ufunguo
umekuwa ndani ya nafasi ya WASHA.
Vipengele na Vidhibiti
Angalia Mchoro 2 kwa mahali.
Pedali ya Breki
Kukanyaga pedali ya breki kunaweza breki ya
trekta.
Udhibiti wa Uendaji kwa Kadiri
Hii hufunga udhibiti wa kasi ya ardhi ya kuenda
mbele. Udhibiti wa uendaji kwa kadiri una sehemu
tano za kufunga.
Tangi la Mafuta
Kuondoa kifuniko, zungusha kinyuma na saa.
Pedali za Kasi ya Ardhi
Pedali za uendeshaji kasi wa mbele hudhiniti kasi
ya kuenda mbele ya trekta. Pedali za uendeshaji
kasi wa nyuma hudhibiti kasi ya kurudi nyuma ya
trekta.
Swichi ya Taa za Mbele
Hii huwasha na kuzima taa za mbele za trekta.
Urekebishaji wa Urefu wa Ukataji Mashine ya
Kikatia Nyasi
Wenzo wa kurejebisha urefu wa ukataji wa
mashine ya kukatia nyasi hudhibiti urefu wa
kukata. Urefu wa kukata unaweza kuwekwa kwa
moja ya sehemu saba kati ya 1.5” na 4.0” (3,8 na
10,2 cm).
Breki ya Kuegesha
Hii hufunga breki ya kuegesha wakati trekta
imesimamishwa. Angalia kifungu cha Breki ya
Kuegesha.
Swichi ya Kuondoa Nguvu (PTO)
Swichi ya PTO (Kuondoa Nguvu) huweka na kutoa
klachi ya ubapa wa mashine ya kukatia nyasi. Kwa
kuifanyisha PTO, vuruta JUU switchi. Sukuma
CHINI kwa kutoifanyisha.
KUMBUKA:
Lazima mwendeshaji aketi vizuri
katika kiti cha trekta ili PTO ifanye kazi.
Summary of Contents for SPX-100
Page 2: ...2 A 1730264 1730202 B C D E A B C D E 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 1 4 3 2 1 2...
Page 3: ...3 en 10 psi 0 68 bar 12 14 psi 0 82 0 96 bar 3 17 30 20 2 7 4 C A A B 5 D C B A 6 A B C...
Page 24: ...10 10 6...
Page 26: ...10 1 2 3 4 5 6 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 1 2 3 4 5 6 10 17 6 20 607 3 5 106...
Page 28: ...12 E C 1 1 2 3 3 4 10 5 6 7 8 9 10 E A 1 A B C D E...
Page 29: ...13 ar 2 PTO PTO PTO RMO LED PTO...
Page 30: ...5 Briggs Stratton SJ SH SG SF 40 4 30 SAE 80 27 10W 30 1 2 3 4 PTO RMO 5 16...
Page 32: ...18 1 2 3 4 5 6 7 8 9 1 2 3 4 5 6 7 1 2 3 4 5 6 7 8 RMO...
Page 34: ...20 8 25 50 5 8 25 50 4 5 5...
Page 35: ...21 ar 1 2 3 4 5 10 5 6 11 7 8 4 3 2 1 9 1 2 9 3 4 5 6 7 8 5...
Page 36: ...22 B 12 A 1 D C 2 E 3 4 5 6 7 8 13 14 180 20 2 1 4 1...
Page 37: ...23 ar 30 Briggs Stratton Briggs Stratton...
Page 38: ...26...
Page 39: ...27 ar...
Page 60: ......
Page 80: ......
Page 100: ......
Page 119: ......
Page 120: ......